Katika DVD hii utapa kusikia ujumbe unahusu UBATIZO uliohubiriwa na
Nabii Flora Peter siku ya tarehe 20.07.2013 na pia utapata kuona jinsi
Nabii Flora akiwabatiza waumini wa kanisa lake siku ya tarehe
22.07.2013.
Unaweza kuwasiliana na Octavian kwa simu +255 716310661 au tembelea www.nabiiflora.blogspot.com
Unaweza kufika katika kanisa hili lililoko Mbezi Salasala, shuka kituo
cha Mbezi Mbuyuni na uliza kanisa la Nabii Flora watakuonyesha. Kama
hujui Mbezi Salasala, ukiwa Mwenge panda magari ya Tegeta na shuka
katika kituo ulichoelekezwa
DVD hizi zimetengenezwa na RUMAFRICA (shooting, Editing na Cover Design)
Wasiliana nasi kwa simu +255 715 851523 au tembelea www.rumaafricajobs.blogspot.com au www.rumaafrica.blogspot.com
Wasiliana nasi kwa simu +255 715 851523 au tembelea www.rumaafricajobs.blogspot.com au www.rumaafrica.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni