HEADER

Jumanne, 2 Julai 2013

JANA ILIKUWA SIKU YA KIPEKEE KATIKA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE . MTUME VERNON FERDNANDES ALIFUNGUA RASMI MKUTANO WA MITUME SABA KUHUBIRI MADHABAHU MOJA KUOMBEA AMANI TANZANIA


Rumafrica ilibahatika kupata mwaliko  kutoka kwa Mtume Nyaga katika mkutano huu mkubwa unaoendelea kufanyika katika kanisa la RGC Tabata Chang'ombe kwa Mtumbe Peter Nyaga, na haya ndiyo yalioajiri leo. Mtumshi wa Mungu Mtume Dk. Vernon Ferdnandes wa AGAPE alikuwa mgeni rasmi na ndiye aliyefungua mkutano huu kwa maombi na kuhubiri Neno la Mungu. Watu walikuwa ni wengi sana na kumekuwa na upako wa ajabu sana kwa watu wake waliofika mahali hapa. Rumafrica ilikuwa iko busy sana na kutafuta matukio na kuyarusha katika mitandao mbalimbali ikiwemo blogu ya Mtume Nyaga (www.urejoshotv.blogspot.com)

Tangazo limetengenezwa na Rumafrica
Mkutano huu unaendelea wki hii nzima  na siku ya leo atakuwepo madhabahuni Nabii Joshua akihubiri Neno la Mungu katika kanisa hili lililotawala upako wa ajabu sana.
Tupate machache kwa kupitia blogu hii:
Tangazo limetengenezwa na Rumafrica (+255 715 851523)

Daniel 1:3: Mfalme akawaiteka nyara Wayahudi baada ya kuteka akataka wenye uzao wa kifalme . Shetani ni mwongo anakudanganya, lakini wewe umezaliwa mara ya pili baada ya kubatizwa, unauwezo wa kuteka nyara. Ukiokoka unakuwa mzuri na unakuwa na ujuzi wa hekima. Ila kama umejichafua hautakuwa na hivi vyote. Huwezi kutawala kama huna akili, unatakiwa kupata ufahamu na ujuzi
Ninakuomba sana usijidharahu. Kuna watu wanakutafuta wanataka kukumaliza. Kama unataka kutawala kimbia zinaa au dhambi. Ukijilinda utakuta watu wanakupenda na kukukimbilia. Mungu ametuita sisi ili tuwe baraka. Mahali pote unapokanyaga lazima pawe baraka.
TEN TIMES IS BETTER: Mungu anawategemea wale walioko kanisani. Kuna watu wanapotea na kwenda kwa wachawi na wachawi wanawapoteza na kuwaingiza katika mitandao yao. Tuamke sasa na kumiliki hekima na ujuzi. Mungu amesema "I will give you power to posses" na sio maneno. Mungu atatupa nguvu ya kumiliki na sio nguvu ya maneno. Muombe Munngu akupe nguvu ya kupata utajiri.
Ukisoma Obadia: Neno Kumiliki ni changamoto kwa walio wengi. Watu wanataka ulaniwe na kudharauliwa. Tambua ya kuwa yupo ambaye amechukua gari lako, biashara yako. Unatakiwa kuingia na kupambana mpaka kieleweke. Pesa inatakiwa ikifuate na sio wewe ufuate pesa.

Nimekuwa nikitumia milioni 300 kuendesha kituo na walokole wengi wamekuwa wakinidharau ila ninajua ikpo siku Mungu atanibariki tu. Fanya kazi ya Mungu na usiwe bahiri kumtolea Mungu wako. Ukifanya hayo yote Mungu atakubariki sana.


Praise Team ikiwa katika madhabahu
Praise Team wakimwimbia Mungu kabla ya Neno la Mungu kutoka kwa watumishi wa Mungu kuanza.
 Mgeni Rasmi Vernon Ferdnandes wa ATN akiwa na mke wake wakisoma Neno la Mungu



Mtume Peter Nyaga wa RGC Miracle Center Tabata Chang'ombe akifungua mkutano kwa maombi

Mitume wakiwa katika maombi
Mke wa Mtume Dk. Vernon Ferdnandes wa AGAPE akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni mume wake Dk. Vernon Ferdnande.


Mtume Dk. Vernon Ferdnandes akifungua mkutano kwa maombi






Mtume Dk. Vernon Ferdnandes akiwahubiri na kushoto ni mtafsiri wake


Mtume Dk. Vernon Ferdnandes
Kulia ni Mtume na Nabii Livingstone
Mke wa Mtume Dk. Vernon Ferdnandes (kushoto) akisikiliza mume wake akihubiri

Walioamua kumtunza Mtume Dk. Vernon Ferdnandes
Praise Team wakisikiliza mahubiri



Nabii Joshua akitabiria watu wa Mungu na kuwaombea


Nabii Joshua Tumba kutoka Africa Kusini akitabiria na kuwaombea waumini 
Walioamua kuokoa siku ya jana
Askofu Simtovu aliweza kutangaza juu ya kituo kipya na haya ndiyo aliyosema, "Kituo kipya cha Injili Tanzania kiitwacho FIRE TV  ni kwaajili na watu wanaohubiri Neno la Mungu kutoka Afrika mashariki masaa 24. Mchungaji Simtomvu alisema Kituo hiki ni  cha tatu kinachomilikiwa na Mtume Ferdnand na ni kituo cha musiki wa injili. Kama wewe ni mwimbaji na una CD onana mchungaji Simtovu. Pia kuna Decorder mpya, plug and Play na Portable. Tsh 96,000 mpaka Desemba na baada ya hapo utakuwa unalipia 5000 kwa mwezi


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...