HEADER

Jumapili, 2 Juni 2013

JIPATIE DVD VOLUME 5 YA MAHUBIRI YA NABII FLORA PETER NA SHUHUDA MBALIMBALI IKIWEMO YA MWIGIZAJI WA FILAMU TANZANIA DOTNATA NA MCHAWI ALIYEKUWA AKIWANGA KANISANI NA KUPAA WAKATI WA IBADA

Katika DVD utasikia na kujifunza Neno la Mungu lililohubiriwa na Mtumishi wa Mungu Nabii Flora.
Utapata shuhuda mbalimbali na mojwapo ni hizi.
1 Mchawi aliyekuwa akiwanga kanisani na kupaa wakati Nabii Flora akihubiri, amgeukia Yesu Kristo
2. Dada ambaye mwanae alifia tumboni, baada ya maombezi aliweza kucheza tumboni
3. Dada aliyepata ajali na kuvunjika kiuno apona
4. Dotnata apona na tatizo la sumu mwilini baada ya kunywa juice yenye sumu, na kumsababishia mwili kuwa dhaifu na ngozi kuwa nyeusi.
Kuna shuhuda nyingi utasikia na matendo makuu ya Mungu.

Tembelea www.nabiiflora.blogspot.com
DVD Cover na Video imetengezwa na Rumafrica +255 715 851523

DVD Cover mbele






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...