HEADER

Jumatatu, 10 Juni 2013

WATU 225,000 WAHUDHURIA MKUTANO WA MWISHO WA BONNKE HUKO NAIROBI

Hakika ilikua ni siku ya kipekee kwa wa Kenya na nchi jirani. Ishara na ajabu zimeonekana katika viwanja vya Uhuru Park, ambapo Mungu amemtumia mtumishi wake Reinhard Bonnke kwa jinsi ya tofauti.
Utukufu na heshima apewe Bwana.


“225,000 people today attended the last meeting of the CfaN Gospel Crusade in Nairobi/Kenya. Blessings were flowing like a river. Praise the Lord”.

Siku ya pili ya mkutano huo CfaN Gospel Crusade in Nairobi, Kenya, DAY 2

Siku ya jumamosi, watu 200.000 walihudhuria 
CfaN Crusade in Nairobi, Kenya, Saturday, June 8, 2013, at UHURU PARK. 200,000 people in attendance.

"Picha zote nimezipata kutoka kwa Mwinjilisti Bonnke"

Kutoka kwa: John Shabani

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...