Mnakaribishwa watu wote katika kusherekea siku ya kuzaliwa kwa Nabii Flora Peter katika kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji siku ya Jumapili 07/07/2013
Nabii Flora alizaliwa Mafinga mkoa wa Iringa, aliishi mahali pale kwa muda wa miaka mitano na baadae wazazi wake walihamia Shinyanga kikazi. Nabii Flora baadae aliweza kuhamia mkoa wa Dar es Salaam. Mungu alimuwezesha kuanzisha huduma yake hapa Mbezi Salasala. Jumapili hiyo utapata kujua mengi kuhusu Nabii Flora Peter.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni