HEADER

Jumanne, 11 Juni 2013

MATENDO MAKUU YANAYOFANYIKA KATIKA KANISA LA YESU KRISTO HUDUMAYA MAOMBEZI NA UPONYAJI KWA NABII FLORA MBEZI SALASALA


Nabii Flora Peter

Mtoto huyu ana umri wa mika 2. Alikuwa hawezi kukaa na akikaa anaanguka, hawezi kutembea kabisa. Madaktari walimwambia mama yake kuwa mwanae anatatizo la utindikiwa wa akili kwahiyo kupona kwake itachukua muda mrefu. Mama huyu aliamua kuchukua hatua ya kuja kwa nabii Flora amuombee. Nabii aliweza kumuombea na sasa anakaa peke yake, ila kutembea bado. Akishikiriwa na mtu anaweza kutembea.



Mama huyu anasumbuliwa na kansa ya koo. Kansa hii ilimuanza taratibu katika ulimi wake ambako kulitokea kidonda na baada kusambaa shingoni na katika mashafu yake. Alipofika kwa nabii Flora uvimbe huu ulikuwa mkubwa zaidi ya hapo unapopaona sasa. nabii Flora aliweza kumuombea na sasa uvimbe unapungua na anaweza hata kunywa mtoli na supu, kwani mara ya kwanza alikuwa hawezi kula kabisa. Mungu ni mwema jamani...

Tembelea
www.nabiiflora.blogspot.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...