Tunawshukuru Watanzania na wageni rasmi kwa kufanikisha ndoto yetu ya
kuzindua album yetu ya Jana Imepita, Mungu wetu na awabariki na
awazidishie pale mlipotoa kwa lengo la kuunga mkono huduma hii ya
uimbaji. Tunashukuru kanisa kwa kuruhusu kufanya huduma yetu kwa uhuru
na amani.
Tunashukuru RUMAFRICA kwa kuweza kututengenezea Tshirts, Posters, Badges na ushauri wako.
MUNGU AWABARIKI SANA.AMENI
mmMadam Ruti akiwa na furaha kutimiza ndoto yake ya uzinduzi
Mgeni rasmi, Mbuge John Komba wa tatu kutoka kulia akiangalia zoezi likiendelea
Mbuge John Komba akiwa katika harakati za kuchangisha
NNoel Tenga wa kwanza kushoto akiwa na mgeni rasmi Mbuge John Komba
Watoto wa Madam Ruti wakiwa na furaha kuona mama yao akikamilisha ndoto yake
Mtoto wa Madam Ruti akiwa katika gari la mama yake
Wacheza show wa Madam Ruti wakionyesha Badge iliyotenenezwa na Rumafrica
Wapenzi wa Madam Ruti wakiwa wamevalia Tshirts zilizotengenezwa na Rumafrica
Duka la Madam Ruti. Ukitaka bidhaa kama hizi unaweza kufika Kariakoo katika kituo cha mabasi ya kuelekea Kurasini au Temeke uliza RM Star au duka la Madam Ruti
Chriss akiwa na Madam Ruti
Bishop Edga Mwamfupe akiwamiminia shampain, kushoto mke wake akiwa na rafiki zake.
Madam Ruti Mwamfupe akiwa na rafiki yake wa mbele yake,wakimwaga mwaga ukumbini kwenye sherehe ya harusi ukumbi wa Water front.
Huduma ya uchungaji ikiwemo ndani yako, huwezi penda kuona mtu anapungukiwa na kitu.
Hebu mtazame huyu Bishop Edga vile anavyo ifanya huduma hii.
.
Dereva wa bwana harusi akiwa ameshika chupa ya shampain
Madam Ruti akiwa na mdau wa albam yake ya Jana imepita,ukumbini wote wafurahi baada ya kuonana humo.
MUHESHIMIWA CAPTAIN JOHN KOMBA akijibu Risala ya Madam Ruti Mwamfupe
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni