HEADER

Alhamisi, 13 Juni 2013

MTANZANIA MAMA BUYA ATEMBEA BAADA YA KUOMBEWA NA TB JOSHUA WAKATI WA IBADA YA JUMAPILI 08.06.2013


USHUHUDA WA UPONYAJI.

NIMETEMBEA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUSUMBUKA NA KUTEMBEA KWA KUTUMIA BAISKELI YA WAGONJWA

Mama Buya wakati TB Joshua akiendelea na ibada ya Jumapili aliweza kulia kwa sauti ambapo alifanya watumini kustaajabu akiwa amekaa katika baiskeli yake. TB Joshua akiwa akijaribu kuangalia ni kitu gani kimetokea, msichana mmoja aliyekuwa na mama huyo (mwanae) akasema, mama amekuwa akikaa katika baiskeli hii kwa muda wa miaka mitatu. Mama alikuwa amepata tatizo la Kisaikolojia na ikamsababishia kutofanya kazi zake za ualimu. Ametafuta njia za kuweza kupona katika mahospitali mengi na baadae ikaonekana afanyiwe upasuaji ikiwa ndio njia pekee ya kutatua tatizo lake na kuayalinda maisha yake

Mara moja TB Joshua aliweza kumuombea mama huyu asiyejiweza, mama huyu aliweza kusimama kutoka katika ile baiskel na kutembea katikati ya ya kundi la waliofika katika ibada hiyo hapo SCOAN kwa mara ya kwanza tangia apate hilo tatizo kwa muda wa miaka mitatu.

Tumtukuze Mkuu wa Uponyaji - Yesu Kristo!


HEALING TESTIMONY

I WALKED FOR THE FIRST TIME IN YEARS AFTER BEING CONFINED TO A WHEELCHAIR

Mrs Buya and daughter Mary from Tanzania

Mrs Buya and daughter Mary from Tanzania


Mrs Buya


The Sunday Service reached a breath-taking point when a young lady who had come to The SCOAN from Tanzania interrupted the prophecy ministration being conducted by the man of God, Prophet T.B Joshua. She cried out to draw attention to the fact that her paralyzed elderly mother was sitting in one of the overflow canopies in a wheelchair. When Prophet T.B. Joshua inquired what the matter was, the young lady said that her mother had been confined to the wheelchair for three years. She had been affected psychologically and was unable to perform her duties as a teacher. She had sought solution from several hospitals and referrals before it was suggested that she undergo an operation as that was the best the medics could do to save her life. As soon as Prophet T.B. Joshua prayed for the physically disabled woman, she rose from the wheelchair and walked in the midst of The SCOAN congregation for the first time in years. Glory be to the Master Healer – Jesus Christ!

Mrs Buya Walking To The Glory Of God


The congregation couldn’t help but join the overwhelmed woman and her daughter in a victory dance that lasted a while, as people besieged the woman to give her heart-rending hugs.

Translated by Rumafrica (Rulea Sanga) +255 715851523

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...