Siku ya tarehe 31.05.2013 mtumishi wa Mungu aliweza kumtolea Mungu
zawadi ya maua kwaajili ya kupamba nyumba ya Mungu. Dotnata amekuwa
akimtumika Mungu kwa muda sasa na Mungu aliweza kumponya na tatizo la
sumu mwili ambayo aliipata baada ya kunywa juice iliyowekewa sumu.
Dotnata aliweza kufikishwa kanisani kwa nabii Flora baada ya kuzunguka
makanisa mengi kwaajili ya maombezi bila mafanikio, alipokutana na
mtumishi wa Mungu alipata uponyaji.

Nabii Flora akimuombea mtumishi wa Mungu Dotnata

Nabii Flora akimuombea mtumishi wa Mungu Dotnata





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni