HEADER

Alhamisi, 6 Juni 2013

SIKILIZA SHUHUDA KUTOKA KATIKA KANISA LA YESU KRISTO LA HUDUMA YA MAOMBEZI NA UPONYAJI

Siku ya leo Jumatano watu waliwezaa kufika kanisani  kwaajili ya maombezi na uponyaji. Nabii Flora Peter aliweza kuwaombea watu wote waliofika mahali pale. Kulikuwa na shuhuda mbambali na baadhi yake ni hizi zifuatazo


Nabii Flora

Dada huyu amamshukuru Mungu kwa kumponya na UKIMWI, baada ya Nabii Flora kumuombea.

Dada huyu alikuwa kichaa baada ya maombezi kwa kupitia Nabii Flora Peter amepona na sasa anafurahia wokovu.

Kaka huyu ni mtumiaji wa madawa ya kulevya. Siku ya leo alifika kanisani kwa Nabii Flora na kumuomba amuombee aachane na kutumia madawa ya kulevya.

Hizi ni sehemu ammbazo hutumia kujidunga na sindano zenye madawa ya kulevya.

...akionyesha sehemu ambayo sindono ya madawa ya kulevya huchomwa.

Nabii Flora akimuombea bibi aliyepona knsa baada ya Nabii Flora kumuombea siku za nyuma akiwa na kansa, na hivi alivyoshika na vyeti vya uthibitisho.

Mwigizaji wa Bongo Movie, Dotnata ambaye hivi karibuni alikunywa juice iliyowekewa sumu na watuy wasiojulikana na ikamsababishia kudhoofika kiafya. Amejaribu kwenda katika makanisa mbalimbali bila ya mafanikio. Baada ya kupata habari za Nabii Flora aliweza kufika na kuombewa na sasa ni mzima na amekuwa akimwimbia Mungu katika kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji kwa Nabii Flora Peter Mbezi Salasala.

Mama huyu mwenye mtoto akimshukuru Mungu wa Nabii Flora kwa kumuwezesha kuzaa mtoto ambaye Nabii Flora alimtabiria kuwa atapata mimba na kuzaa mtoto mweupe kama yeye, na hii imetokea.


Tembelea
www.nabiiflora.blogspot.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...