HEADER

Jumapili, 9 Juni 2013

MATUKIO YA JUMAPILI KATIKA KANISA LA NABII FLORA MBEZI SALSALA JIJINI DAR ES SALAAM

SEHEMU YA KWANZA
Rumafrica inakuletea baadhi matukio  yaliyotokea Jumapili hii katika kanisa la Yesu Kristo la Huduma Uponyaji na Maombezi lililoko hapa jijini Dar es Salaama Mbezi Salasala.

Nabii Flora akitoa mfano

Nabii Flora (katikati) akiwa na mchungaji Jury (kulia) na Katibu msaidizi wa kanisa wakielekea madhabahuni.


Apostle Gideon Mutalemwa akiwa katika kipindi cha sifa

Kipindi cha kuombea fungu la kumi

Maombi kwajili ya wale wanaotoa mafungu ya kumi



Waliotoa fungu la kumi wakiwa wamegeukia upande mmoja kwaajili ya kupokea baraka kutoka kwa nabii Flora.



Nabii Flora akiachia baraka kwa kutumia ishara yake ya mgongo

Watu wakiwa wamedondoshwa kwa nguvu za Mungu baada ya nabii Flora kutumia ishara ya mgongo.



Nabii Flora akiachia baraka kwa kutumia ishara yake ya mgongo

Nabii Flora (kulia) akichovya kitambaa katika mafuta ya upako kwaajili ya watoa fungu la kumi kukishika ili wapokee baraka zao.

Dada huyu alikuwa na uhitaji wa mtoto, baada ya kumshirikisha Nabii Flora alimuombea na sasa amepata mtoto.

Dada huyu alikkuwa na UKIMWI baada ya kumshirikisha Nabii Flora aliweza kupona kama unavyomuona akiwa na vyeti vya hospitalini vikithibitisha hana ugonjwa huo tena.



Mzee huyu akiwa na mwanae alikuwa na tatizo la kutopata choo kubwa. Baada ya Nabii Flora kumuombea sasa anpata choo kubwa.

Msichana huyu amesumbuka sana na ugonjwa wa mkanda wa Jeshi ambao ulikula sana tumbo lake. Alipofika kwa nabii Flora alimuombea na sasa ni mzima na amepata kazi ya utangazaji katika TV

Hayo ni mateso ya binti huyu yalivyokuwa.

Nabii Flora akielezea jinsi alivyokutana na huyu binti akiwa anateseka na huu ugonjwa.

Nabii Flora akimtabiria.

Binti huyu aliachwa na mchumba wake. nabii Flora alipomuombewa mchumba wake wa kwa kupitia skype akamwandikia hakuna mtu anayempenda zaidi yake na hana mpenzi mwingine zaidi yake. Mungu nim mwema.

Kaka huyu alikuwa anaumwa kansa kwa muda mrefu sana na amezunguka hospitali nyingi bila ya uponyaji lakini baada ya kuonana na nabii Flora, aliweza kumuombea na sasa ni mzima wa afya.

Mama huyu akimshukuru sana Mungu kwa kumuwezesha mwanae kuwa ana akili darasani na kushika nafasi ya kwanza. na hii yote ni kutokana na maombi ya nabii Flora Peter kwa Mungu wetu.

Mama huyu alikuja kanisa kwa nabii Flora na kutabiriwa na nabii Flora kuwa atasafiri nchi za nje, na sasa amepata safari ya kwenda nje ya Tanzania na ameongezewa cheo kazini kwake.



Dada huyu ni mkazi wa Tanga ambaye alifunga safari mpaka Dar es Salaam kwa Nabii Flora kwaajili ya kuombewa apone ukiziwi. baada ya kufika aliombewa na sasa anasikia. Mungu ni mwema.

Mchunagaji Ansilla akihimiza watu waweze kumchangia nabii Flora ili aweze kurusha mahubiri katika radio na TV

Nabii Flora Peter

Waumini wakisikiliza Neno la Mungu kutoka kwa nabii Flora Peter

Dada huyu ambaye ni mwislamu, house girl wake alipotelewa na mtoto. Alipofika kwa nabii Flora alimuombea na kumuonyesha mtoto alipo, na walipofika hapo alipomuonyesha waliweza kumuona.

Kipindi cha maombezi na Uponyaji

Maombezi yakiendelea na watu wanafunguliwa
|
Dotnata (kulia) akifurahia jinsi Mungu anavyozidi kumlinda baada ya kuombewa na kupona na sumu iliyokuwa mwilini mwake iliyotokana na kunnya juice iliyowekewa sumu na mtu asiyejulikana. Amezunguka sana kwaajili ya matibabu kabla ya kufika kwa nabii Flora bila ya mafanikio. Alipofika hapa aliweza kupona ndani ya wiki moja.

Baadhi ya waumini wakiwa wametegeneza duara, ambapo Nabii Flora aliamuru sakafu kunata kama gundi na kuwa na radha ya sukari. na yote ni kuonyesha kuwa Mungu anweza kuwatumia watumishi wake kufanya mambo mkubwa kama ya Yesu


Baada ya kuwaombewa watu walioteneza duara, waliweza kuinama chini na kusujudu.

Tembelea
www.nabiiflora.blogspot.com

Mpiga Picha
Rumafrica
+255 715 851523








Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...